Books
Chapters
Mwanzo
Kutoka
Mambo ya Walawi
Hesabu
Kumbukumbu la Torati
Yoshua
Waamuzi
Ruthu
1 Samweli
2 Samweli
1 Wafalme
2 Wafalme
1 Mambo ya Nyakati
2 Mambo ya Nyakati
Ezra
Nehemia
Esta
Ayabu
Zaburi
Mithali
Mhubiri
Wimbo Ulio Bora
Isaya
Yeremia
Maombolezo
Ezekieli
Danieli
Hosea
Yoeli
Amosi
Obadia
Yona
Mika
Nahumu
Habakuki
Sefania
Hagai
Zekaria
Malaki
Mathayo
Marko
Luka
Yohana
Matendo ya Mitume
Warumi
1 Wakorintho
2 Wakorintho
Wagalatia
Waefeso
Wafilipi
Wakolosai
1 Wathesalonike
2 Wathesalonike
1 Timotheo
2 Timotheo
Tito
Filemoni
Waebrania
Yakobo
1 Petro
2 Petro
1 Yohana
2 Yohana
3 Yohana
Yuda
Ufunuo wa Yohana
Zaburi 3 Swahili & English
Listen/Download AudioZaburi 3 (Swahili) | Psalms 3 (English) |
---|---|
Bwana, watesi wangu wamezidi kuwa wengi, Ni wengi wanaonishambulia, Zaburi 3:1 |
> Yahweh, how my adversaries have increased! Many are those who rise up against me. |
Ni wengi wanaoiambia nafsi yangu, Hana wokovu huyu kwa Mungu. Zaburi 3:2 |
Many there are who say of my soul, "There is no help for him in God." Selah. |
Na Wewe, Bwana, U ngao yangu pande zote, Utukufu wangu na mwinua kichwa changu. Zaburi 3:3 |
But you, Yahweh, are a shield around me, My glory, and the one who lifts up my head. |
Kwa sauti yangu namwita Bwana Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu. Zaburi 3:4 |
I cry to Yahweh with my voice, And he answers me out of his holy hill. Selah. |
Nalijilaza nikalala usingizi, nikaamka, Kwa kuwa Bwana ananitegemeza. Zaburi 3:5 |
I laid myself down and slept. I awakened; for Yahweh sustains me. |
Sitayaogopa makumi elfu ya watu, Waliojipanga juu yangu pande zote. Zaburi 3:6 |
I will not be afraid of tens of thousands of people Who have set themselves against me on every side. |
Bwana, uinuke, Mungu wangu, uniokoe, Maana umewapiga taya adui zangu wote; Umewavunja meno wasio haki. Zaburi 3:7 |
Arise, Yahweh! Save me, my God! For you have struck all of my enemies on the cheek bone. You have broken the teeth of the wicked. |
Wokovu una Bwana; Baraka yako na iwe juu ya watu wako. Zaburi 3:8 |
Salvation belongs to Yahweh. Your blessing be on your people. Selah. |