Books
Chapters
Mwanzo
Kutoka
Mambo ya Walawi
Hesabu
Kumbukumbu la Torati
Yoshua
Waamuzi
Ruthu
1 Samweli
2 Samweli
1 Wafalme
2 Wafalme
1 Mambo ya Nyakati
2 Mambo ya Nyakati
Ezra
Nehemia
Esta
Ayabu
Zaburi
Mithali
Mhubiri
Wimbo Ulio Bora
Isaya
Yeremia
Maombolezo
Ezekieli
Danieli
Hosea
Yoeli
Amosi
Obadia
Yona
Mika
Nahumu
Habakuki
Sefania
Hagai
Zekaria
Malaki
Mathayo
Marko
Luka
Yohana
Matendo ya Mitume
Warumi
1 Wakorintho
2 Wakorintho
Wagalatia
Waefeso
Wafilipi
Wakolosai
1 Wathesalonike
2 Wathesalonike
1 Timotheo
2 Timotheo
Tito
Filemoni
Waebrania
Yakobo
1 Petro
2 Petro
1 Yohana
2 Yohana
3 Yohana
Yuda
Ufunuo wa Yohana
Zaburi 114 Swahili & English
Listen/Download AudioZaburi 114 (Swahili) | Psalms 114 (English) |
---|---|
Haleluya. Israeli alipotoka Misri, Na Yakobo katika watu wa lugha ya kigeni. Zaburi 114:1 |
When Israel went forth out of Egypt, The house of Jacob from a people of foreign language; |
Yuda ilikuwa patakatifu pake, Israeli milki yake. Zaburi 114:2 |
Judah became his sanctuary, Israel his dominion. |
Bahari iliona ikakimbia, Yordani ilirudishwa nyuma. Zaburi 114:3 |
The sea saw it, and fled. The Jordan was driven back. |
Milima iliruka kama kondoo waume, Vilima kama wana-kondoo. Zaburi 114:4 |
The mountains skipped like rams, The little hills like lambs. |
Ee bahari, una nini, ukimbie? Yordani, urudi nyuma? Zaburi 114:5 |
What was it, you sea, that you fled? You Jordan, that you turned back? |
Enyi milima, mruke kama kondoo waume? Enyi vilima, kama wana-kondoo? Zaburi 114:6 |
You mountains, that you skipped like rams; You little hills, like lambs? |
Tetemeka, Ee nchi, mbele za uso wa Bwana, Mbele za uso wa Mungu wa Yakobo. Zaburi 114:7 |
Tremble, you earth, at the presence of the Lord, At the presence of the God of Jacob, |
Augeuza mwamba kuwa ziwa la maji, Jiwe gumu kuwa chemchemi. Zaburi 114:8 |
Who turned the rock into a pool of water, The flint into a spring of waters. |