Tazama, enyi watumishi wa Bwana, Mhimidini Bwana, nyote pia. Ninyi mnaosimama usiku Katika nyumba ya Bwana.
> Look! Praise Yahweh, all you servants of Yahweh, Who stand by night in Yahweh's house!
Painulieni patakatifu mikono yenu, Na kumhimidi Bwana.
Lift up your hands in the sanctuary. Praise Yahweh!
Bwana akubariki toka Sayuni, Aliyezifanya mbingu na nchi.
May Yahweh bless you from Zion; Even he who made heaven and earth.