Ezekieli Mlango 47 Ezekiel

Ezekieli 47:1

Baadaye akanileta tena mpaka lango la nyumba; na tazama, maji yalitoka chini ya

Ezekieli 47:2

Ndipo akanileta nje kwa njia ya lango upande wa kaskazini, akanizungusha kwa njia

Ezekieli 47:3

Na alipotoka mtu yule, mwenye uzi wa kupimia mkononi mwake, kwenda masharikini,

Ezekieli 47:4

Kisha akapima dhiraa elfu, akanivusha maji yale, maji yakafika mpaka magoti.

Ezekieli 47:5

Kisha akapima dhiraa elfu, yakawa mto nisioweza kuuvuka; maana maji yamezidi,

Ezekieli 47:6

Akaniambia, Mwanadamu, je! Umeona haya? Kisha akanichukua akanirudisha mpaka

Ezekieli 47:7

Basi nikiisha kurudi, tazama, kando ya ukingo wa mto ilikuwapo miti mingi sana,

Ezekieli 47:8

Ndipo akaniambia, Maji haya yanatoka kwenda pande za nchi ya mashariki, nayo

Ezekieli 47:9

Tena itakuwa, kila kiumbe hai kisongamanacho, kila mahali itakapofika mito hiyo,

Ezekieli 47:10

Tena itakuwa, wavuvi watasimama karibu nao; toka Engedi mpaka En-eglaimu,

Ezekieli 47:11

Bali mahali penye matope, na maziwa yake, hayataponywa; yataachwa yawe ya

Ezekieli 47:12

Na karibu na mto, juu ya ukingo wake, upande huu na upande huu, utamea kila mti

Ezekieli 47:13

Bwana MUNGU asema hivi; Huu ndio mpaka ambao mtaigawanya nchi iwe urithi

Ezekieli 47:14

Nanyi mtaimiliki, mtu huyu sawasawa na huyu; ambayo naliuinua mkono wangu kuwapa

Ezekieli 47:15

Na huu ndio mpaka wa nchi; upande wa kaskazini, toka bahari kubwa, kwa njia ya

Ezekieli 47:16

Hamathi, na Berotha, na Sibraimu, ulio katikati ya mpaka wa Dameski na mpaka wa

Ezekieli 47:17

Nao mpaka toka baharini utakuwa Hasar-enoni, penye mpaka wa Dameski, na

Ezekieli 47:18

Na upande wa mashariki, kati ya Haurani na Dameski, na Gileadi na nchi ya

Ezekieli 47:19

Na upande wa kusini, kuelekea kusini, utakuwa ni kutoka Tamari mpaka maji ya

Ezekieli 47:20

Na upande wa magharibi, utakuwa ni bahari kubwa, kutoka mpaka wa kusini mpaka

Ezekieli 47:21

Basi ndivyo mtakavyojigawanyia nafsi zenu nchi hii, sawasawa na kabila za

Ezekieli 47:22

Tena itakuwa mtaigawanya kwa kura, kuwa urithi kwenu, na kwa wageni wakaao kwenu

Ezekieli 47:23

Tena itakuwa, mgeni akaaye katika kabila iwayo yote, atapewa urithi katika