Ezekieli Mlango 35 Ezekiel

Ezekieli 35:1

Tena neno la Bwana likanijia, kusema,

Ezekieli 35:2

Mwanadamu, kaza uso wako juu ya mlima Seiri, ukatabiri juu yake,

Ezekieli 35:3

uuambie, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ee mlima Seiri, nami

Ezekieli 35:4

Miji yako nitaiharibu, nawe utakuwa ukiwa; nawe utajua ya kuwa mimi ndimi Bwana.

Ezekieli 35:5

Kwa kuwa umekuwa na uadui usiokoma, nawe umewatoa wana wa Israeli wapigwe kwa

Ezekieli 35:6

Basi, kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, nitakuweka tayari kwa damu, na damu

Ezekieli 35:7

Hivyo ndivyo nitakavyoufanya mlima Seiri kuwa ajabu na ukiwa; nami nitakatilia

Ezekieli 35:8

Nami nitaijaza milima yake watu wake waliouawa; katika milima yako, na katika

Ezekieli 35:9

Nitakufanya kuwa ukiwa wa daima, na miji yako haitakaliwa na watu; nanyi mtajua

Ezekieli 35:10

Kwa sababu umesema, Mataifa haya mawili na nchi hizi mbili zitakuwa zangu, nasi

Ezekieli 35:11

Basi, kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, nitatenda kwa kadiri ya hasira

Ezekieli 35:12

Nawe utajua ya kuwa mimi, Bwana, nimeyasikia matukano yako yote, uliyoyanena juu

Ezekieli 35:13

Nanyi mmejitukuza juu yangu kwa vinywa vyenu, na kuyaongeza maneno juu yangu;

Ezekieli 35:14

Bwana MUNGU asema hivi; Dunia yote itakapofurahi, nitakufanya kuwa ukiwa.

Ezekieli 35:15

Kama vile ulivyofurahi juu ya urithi wa nyumba ya Israeli, kwa sababu ilikuwa