Ezekieli Mlango 45 Ezekiel

Ezekieli 45:1

Tena, mtakapoigawanya nchi kwa kura iwe urithi, mtamtolea Bwana toleo, sehemu

Ezekieli 45:2

Katika hiyo itakuwako sehemu kwa mahali patakatifu, urefu wake mia tano, na upana

Ezekieli 45:3

Na kwa kipimo hicho utapima, urefu wa ishirini na tano elfu, na upana wa elfu

Ezekieli 45:4

Hiyo ni sehemu takatifu ya nchi; itakuwa ya makuhani, wahudumu wa patakatifu,

Ezekieli 45:5

Tena urefu wa ishirini na tano elfu, na upana wa elfu kumi, ni sehemu ya Walawi,

Ezekieli 45:6

Nanyi mtaiandika milki ya mji, upana wake elfu tano, na urefu wake ishirini na

Ezekieli 45:7

Na sehemu itakayokuwa ya mkuu itakuwa upande huu, na upande huu, wa toleo

Ezekieli 45:8

Katika nchi hiyo itakuwa milki kwake katika Israeli; wala wakuu wangu

Ezekieli 45:9

Bwana MUNGU asema hivi; Na iwatoshe ninyi, enyi wakuu wa Israeli; ondoeni dhuluma

Ezekieli 45:10

Mtakuwa na mizani ya haki, na efa ya haki, na bathi ya haki.

Ezekieli 45:11

Efa na bathi zitakuwa za kipimo kimoja; ili kwamba bathi ichukue sehemu ya kumi

Ezekieli 45:12

Nayo shekeli itakuwa gera ishirini; shekeli tano zitakuwa shekeli tano, shekeli

Ezekieli 45:13

Toleo mtakalotoa ni hili; sehemu ya sita ya efa katika homeri moja ya ngano,

Ezekieli 45:14

na sehemu ya mafuta iliyoamriwa, katika bathi ya mafuta, itakuwa sehemu ya kumi

Ezekieli 45:15

na mwana-kondoo mmoja wa kundi katika mia mbili, katika malisho ya Israeli yenye

Ezekieli 45:16

Watu wote wa nchi watatoa toleo hili kwa ajili ya mkuu katika Israeli.

Ezekieli 45:17

Tena itakuwa kazi ya mkuu kutoa hizo sadaka za kuteketezwa, na sadaka za unga,

Ezekieli 45:18

Bwana MUNGU asema hivi; Mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, utatwaa

Ezekieli 45:19

Na kuhani atatwaa baadhi ya damu ya sadaka ya dhambi, na kuitia juu ya miimo ya

Ezekieli 45:20

Nawe utafanya vivyo hivyo katika mwezi wa saba, siku ya kwanza ya mwezi kwa

Ezekieli 45:21

Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi, mtakuwa na Pasaka, sikukuu ya

Ezekieli 45:22

Na siku hiyo mkuu atatengeneza ng'ombe kuwa sadaka ya dhambi, kwa ajili ya nafsi

Ezekieli 45:23

Tena, katika zile siku saba za sikukuu atamtengenezea Bwana sadaka ya

Ezekieli 45:24

Naye atatengeneza sadaka ya unga, efa moja kwa ng'ombe, na efa moja kwa kondoo

Ezekieli 45:25

katika mwezi wa saba, siku ya kumi na tano ya mwezi, katika sikukuu atafanya