Ezekieli Mlango 43 Ezekiel

Ezekieli 43:1

Kisha akanileta mpaka langoni, yaani, lango lile lielekealo upande wa mashariki;

Ezekieli 43:2

na tazama, huo utukufu wa Mungu wa Israeli ulitokea kwa njia ya mashariki; na

Ezekieli 43:3

Na maono niliyoyaona yalikuwa kama maono niliyoyaona nilipokuja kuuharibu mji;

Ezekieli 43:4

Na huo utukufu wa Bwana ukaingia ndani ya nyumba, kwa njia ya lango lile

Ezekieli 43:5

Kisha Roho ikaniinua, ikanichukua mpaka ua wa ndani; na tazama, utukufu wa Bwana

Ezekieli 43:6

Nikasikia sauti ya mmoja asemaye nami, itokayo katika nyumba hiyo; na mtu

Ezekieli 43:7

Akaniambia, Mwanadamu, hapa ni mahali pa kiti changu cha enzi, na mahali pa nyayo

Ezekieli 43:8

kwa kuweka kizingiti chao karibu na kizingiti changu; na mwimo wao karibu na

Ezekieli 43:9

Basi sasa wayaondoe mambo yao ya kikahaba, na mizoga ya wafalme wao, yawe mbali

Ezekieli 43:10

Na wewe, mwanadamu, waonyeshe wana wa Israeli nyumba hii, ili wayatahayarikie

Ezekieli 43:11

Na ikiwa wameyatahayarikia yote waliyoyatenda, waonyeshe umbo la nyumba, na

Ezekieli 43:12

Hii ndiyo sheria ya nyumba; juu ya kilele cha mlima, mpaka wake wote pande zote

Ezekieli 43:13

Na vipimo vya madhabahu kwa dhiraa ni hivi; (dhiraa ni dhiraa na shubiri); tako

Ezekieli 43:14

Tena toka chini, juu ya nchi, hata daraja ya chini, dhiraa mbili, na upana wake

Ezekieli 43:15

Na madhabahu ya juu itakuwa dhiraa nne; na toka madhabahu pawashwapo moto na

Ezekieli 43:16

Na pale pawashwapo moto, urefu wake dhiraa kumi na mbili, na upana wake kumi na

Ezekieli 43:17

Na daraja, urefu wake dhiraa kumi na nne, na upana wake dhiraa kumi na nne,

Ezekieli 43:18

Kisha akaniambia, Mwanadamu, Bwana MUNGU asema hivi; Hizi ndizo sheria za

Ezekieli 43:19

Utawapa makuhani Walawi, walio wa uzao wa Sadoki, walio karibu nami, ili

Ezekieli 43:20

Nawe utatwaa baadhi ya damu yake, na kuitia juu ya pembe zake nne, na juu ya

Ezekieli 43:21

Tena utamtwaa ng'ombe wa sadaka ya dhambi, naye utamteketeza mahali palipoamriwa

Ezekieli 43:22

Na siku ya pili utamtoa beberu mkamilifu awe sadaka ya dhambi; nao wataisafisha

Ezekieli 43:23

Utakapokwisha kuitakasa, utatoa ng'ombe mume mchanga mkamilifu, na kondoo mume

Ezekieli 43:24

Nawe utawaleta karibu mbele za Bwana, na makuhani watamwaga chumvi juu yao, nao

Ezekieli 43:25

Kwa muda wa siku saba utaweka tayari mbuzi kila siku awe sadaka ya dhambi; pia

Ezekieli 43:26

Kwa muda wa siku saba wataifanyia madhabahu upatanisho, na kuitakasa; ndivyo

Ezekieli 43:27

Nao watakapozitimiza siku hizo, itakuwa, siku ya nane na baadaye, makuhani