Ezekieli Mlango 37 Ezekiel

Ezekieli 37:1

Mkono wa Bwana ulikuwa juu yangu, naye akanichukua nje katika roho ya Bwana,

Ezekieli 37:2

akanipitisha karibu nayo pande zote; na tazama, palikuwa na mifupa mingi katika

Ezekieli 37:3

Akaniambia, Mwanadamu, je! Mifupa hii yaweza kuishi? Nami nikajibu, Ee Bwana

Ezekieli 37:4

Akaniambia tena, Toa unabii juu ya mifupa hii, uiambie, Enyi mifupa mikavu,

Ezekieli 37:5

Bwana MUNGU aiambia mifupa hii maneno haya; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu,

Ezekieli 37:6

Nami nitatia mishipa juu yenu, nami nitaleta nyama iwe juu yenu, na kuwafunika

Ezekieli 37:7

Basi nikatoa unabii kama nilivyoamriwa; hata nilipokuwa nikitoa unabii, palikuwa

Ezekieli 37:8

Nikatazama, kumbe! Kulikuwa na mishipa juu yake, nyama ikatokea juu yake, ngozi

Ezekieli 37:9

Ndipo akaniambia, Tabiri, utabirie upepo, mwanadamu, ukauambie upepo, Bwana MUNGU

Ezekieli 37:10

Basi nikatabiri kama alivyoniamuru; pumzi ikawaingia, wakaishi, wakasimama kwa

Ezekieli 37:11

Kisha akaniambia, Mwanadamu, mifupa hii ni nyumba yote ya Israeli; tazama, wao

Ezekieli 37:12

Basi tabiri, uwaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitafunua makaburi yenu,

Ezekieli 37:13

Nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi Bwana, nitakapoyafunua makaburi yenu, na kuwatoa

Ezekieli 37:14

Nami nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawawekeni katika nchi

Ezekieli 37:15

Neno la Bwana likanijia tena, kusema,

Ezekieli 37:16

Na wewe mwanadamu, twaa kijiti kimoja; ukaandike juu yake, Kwa Yuda, na kwa wana

Ezekieli 37:17

ukaviunge pamoja kwa ajili yako hiki na hiki viwe kijiti kimoja, viwe kimoja

Ezekieli 37:18

Na wana wa watu wangu watakapokuambia, wakisema, Je! Hutatuonyesha maana ya

Ezekieli 37:19

Waambie, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitakitwaa kijiti cha Yusufu, kilicho

Ezekieli 37:20

Navyo vijiti, ambavyo uliandika juu yake, vitakuwa mkononi mwako mbele ya macho

Ezekieli 37:21

Ukawaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitawatwaa wana wa Israeli toka kati

Ezekieli 37:22

nami nitawafanya kuwa taifa moja katika nchi hiyo, juu ya milima ya Israeli; na

Ezekieli 37:23

Wala hawatajitia uchafu tena kwa vinyago vyao, wala kwa vitu vyao vichukizavyo,

Ezekieli 37:24

Na mtumishi wangu, Daudi, atakuwa mfalme juu yao, nao wote watakuwa na mchungaji

Ezekieli 37:25

Nao watakaa katika nchi niliyompa Yakobo, mtumishi wangu, walimokaa baba zenu;

Ezekieli 37:26

Tena nitafanya agano la amani pamoja nao; litakuwa agano la milele pamoja nao;

Ezekieli 37:27

Tena maskani yangu itakuwa pamoja nao; nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa

Ezekieli 37:28

Na mataifa watajua ya kuwa mimi ndimi Bwana, mimi niwatakasaye Israeli,