Ezekieli Mlango 40 Ezekiel

Ezekieli 40:1

Katika mwaka wa ishirini na tano wa kuhamishwa kwetu, mwanzo wa mwaka, siku ya

Ezekieli 40:2

Katika maono ya Mungu alinileta mpaka nchi ya Israeli, akaniweka juu ya mlima

Ezekieli 40:3

Akanileta huko, na tazama, alikuwapo mtu, ambaye kuonekana kwake kulikuwa kama

Ezekieli 40:4

Mtu yule akaniambia, Mwanadamu, tazama kwa macho yako, sikia kwa masikio yako,

Ezekieli 40:5

Na, tazama, kulikuwa na ukuta nje ya nyumba pande zote, na katika mkono wa mtu

Ezekieli 40:6

Kisha akaenda mpaka lango lielekealo upande wa mashariki, akapanda madaraja yake;

Ezekieli 40:7

Na kila chumba, upana wake mwanzi mmoja, na urefu wake mwanzi mmoja; na nafasi

Ezekieli 40:8

Akaupima na ukumbi wa lango lililoielekea nyumba, mwanzi mmoja.

Ezekieli 40:9

Kisha akaupima ukumbi wa lango, dhiraa nane; na miimo yake, dhiraa mbili; na

Ezekieli 40:10

Na vyumba vya walinzi, vya lango upande wa mashariki, vilikuwa vitatu upande

Ezekieli 40:11

Akaupima upana wa mahali pa kuliingilia lango, dhiraa kumi; na urefu wa lango,

Ezekieli 40:12

Na mpaka, mbele ya vile vyumba, dhiraa moja upande huu, na mpaka, dhiraa moja

Ezekieli 40:13

Akalipima lango, toka paa la chumba kimoja hata paa la chumba cha pili, upana wa

Ezekieli 40:14

Akafanya miimo pia, dhiraa sitini; na uwanda uliufikilia mwimo, lango lile

Ezekieli 40:15

Na toka mahali palipo mbele ya lango, penye maingilio yake, hata mahali palipo

Ezekieli 40:16

Na kwa vile vyumba palikuwa na madirisha yaliyofungwa, na kwa miimo yake ndani

Ezekieli 40:17

Ndipo akanileta mpaka ua wa nje, na tazama, palikuwa na vyumba, na sakafu

Ezekieli 40:18

Na ile sakafu ilikuwa kando ya malango, urefu wake sawasawa na urefu wa malango,

Ezekieli 40:19

Kisha akaupima upana, toka mahali palipokuwa mbele ya lango la chini hata mahali

Ezekieli 40:20

Nalo lango la ua wa nje, lililoelekea kaskazini, akalipima urefu wake, na upana

Ezekieli 40:21

Na vyumba vyake vya walinzi vilikuwa vitatu upande huu, na vitatu upande huu; na

Ezekieli 40:22

Na madirisha yake, na matao yake, na mitende yake, kipimo chake ni sawasawa na

Ezekieli 40:23

Na ule ua wa ndani ulikuwa na lango lililoelekea lile lango la pili, upande wa

Ezekieli 40:24

Akanileta mpaka upande wa kusini, na tazama, lango lililoelekea kusini; akaipima

Ezekieli 40:25

Tena palikuwa na madirisha ndani yake, na katika matao yake pande zote kama

Ezekieli 40:26

Tena palikuwa na madaraja saba ya kulipandia, na matao yake yalikuwa mbele yake;

Ezekieli 40:27

Tena ua wa ndani ulikuwa na lango, lililoelekea kusini; akapima toka lango hata

Ezekieli 40:28

Kisha akanileta mpaka ua wa ndani karibu na lango lililoelekea kusini; akalipima

Ezekieli 40:29

navyo vyumba vyake vya walinzi, na miimo yake, na matao yake, sawasawa na vipimo

Ezekieli 40:30

Tena palikuwa na matao pande zote, urefu wake dhiraa ishirini na tano na upana

Ezekieli 40:31

Na matao yake yaliuelekea ua wa nje, na mitende ilikuwa juu ya miimo yake;

Ezekieli 40:32

Akanileta mpaka ua wa ndani ulioelekea upande wa mashariki, akalipima lango kwa

Ezekieli 40:33

navyo vyumba vyake vya walinzi, na miimo yake, na matao yake, kwa vipimo hivyo;

Ezekieli 40:34

Na matao yake yaliuelekea ua wa nje; na mitende ilikuwa juu ya miimo yake,

Ezekieli 40:35

Akanileta mpaka lango lililoelekea upande wa kaskazini; akalipima kwa vipimo

Ezekieli 40:36

vyumba vyake vya walinzi, na miimo yake, na matao yake; tena palikuwa na

Ezekieli 40:37

Na miimo yake iliuelekea ua wa nje; na mitende ilikuwa juu ya miimo yake, upande

Ezekieli 40:38

Na chumba, pamoja na lango lake, kilikuwa karibu na miimo ya malango; ndiko

Ezekieli 40:39

Na katika ukumbi wa lango palikuwa na meza mbili upande huu, na meza mbili

Ezekieli 40:40

Na upande mmoja, nje, penye madaraja ya kuliingia lango lililoelekea kaskazini,

Ezekieli 40:41

Palikuwa na meza nne upande huu, na meza nne upande huu, karibu na lango; meza

Ezekieli 40:42

Tena palikuwa na meza nne kwa sadaka za kuteketezwa, za mawe yaliyochongwa;

Ezekieli 40:43

Tena hizo kulabu, ambazo urefu wake ni shubiri, zilifungwa ndani pande zote; na

Ezekieli 40:44

Tena nje ya lango la ndani palikuwa na vyumba kwa waimbaji, katika ua wa ndani,

Ezekieli 40:45

Akaniambia, Chumba hiki kinachokabili upande wa kusini ni kwa makuhani, yaani,

Ezekieli 40:46

Nacho chumba kinachokabili upande wa kaskazini ni kwa makuhani, walinzi wa

Ezekieli 40:47

Akaupima huo ua, na urefu wake ulikuwa dhiraa mia, na upana wake dhiraa mia,

Ezekieli 40:48

Ndipo akanileta mpaka ukumbi wa nyumba, akapima kila mwimo wa ukumbi, dhiraa

Ezekieli 40:49

Urefu wa ukumbi ulikuwa dhiraa ishirini, na upana wake dhiraa kumi na moja;