Ezekieli Mlango 36 Ezekiel

Ezekieli 36:1

Na wewe, mwanadamu, itabirie milima ya Israeli, useme, Enyi milima ya Israeli,

Ezekieli 36:2

Bwana MUNGU asema hivi; Kwa sababu adui amesema juu yenu, Aha! Na, Mahali pa juu

Ezekieli 36:3

basi tabiri useme, Bwana MUNGU asema hivi; Kwa sababu, naam, kwa sababu

Ezekieli 36:4

kwa sababu hiyo, enyi milima ya Israeli, lisikieni neno la Bwana MUNGU; Bwana

Ezekieli 36:5

basi Bwana MUNGU asema hivi; Hakika kwa moto wa wivu wangu nimenena juu ya mabaki

Ezekieli 36:6

basi katika kutabiri habari za nchi ya Israeli, uiambie milima na vilima,

Ezekieli 36:7

basi Bwana MUNGU asema hivi; Nimeinua mkono wangu, kusema, Hakika, mataifa walio

Ezekieli 36:8

Lakini ninyi, enyi milima ya Israeli, mtachipuza matawi yenu na kuwapa watu wangu

Ezekieli 36:9

Maana, tazama, mimi nasimama upande wenu, nami nitawaelekea, nanyi mtalimwa na

Ezekieli 36:10

nami nitaongeza watu juu yenu, nyumba yote ya Israeli, naam, yote pia; nayo miji

Ezekieli 36:11

Nami nitaongeza juu yenu mwanadamu na mnyama, nao watazidi na kuzaa; nami

Ezekieli 36:12

Naam, nitaleta watu watembee juu yenu, naam, watu wangu Israeli; nao

Ezekieli 36:13

Bwana MUNGU asema hivi; Kwa kuwa watu hukuambia, wewe nchi u mwenye kula watu,

Ezekieli 36:14

basi hutakula watu tena, wala hutafisha watu wa taifa lako tena, asema Bwana

Ezekieli 36:15

wala sitakusikizisha tena aibu yao wasioamini, wala hutachukua matukano ya watu

Ezekieli 36:16

Tena, neno la Bwana likanijia, kusema,

Ezekieli 36:17

Mwanadamu, nyumba ya Israeli walipokaa katika nchi yao wenyewe, waliitia uchafu

Ezekieli 36:18

Kwa hiyo nalimwaga hasira yangu juu yao, kwa ajili ya damu waliyoimwaga juu ya

Ezekieli 36:19

Nikawatawanya katika mataifa, wakatapanyika katika nchi nyingi; kwa kadiri ya

Ezekieli 36:20

Nao walipoyafikilia mataifa yale waliyoyaendea, walilitia unajisi jina langu

Ezekieli 36:21

Lakini, naliwahurumia kwa ajili ya jina langu takatifu, ambalo nyumba ya Israeli

Ezekieli 36:22

Kwa hiyo; waambieni nyumba ya Israeli, Bwana MUNGU asema hivi Sitendi hili kwa

Ezekieli 36:23

Nami nitalitakasa jina langu kuu, lililotiwa unajisi katika mataifa, mlilolitia

Ezekieli 36:24

Maana nitawatwaa kati ya mataifa, nami nitawakusanya na kuwatoa katika nchi

Ezekieli 36:25

Nami nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtakuwa safi; nitawatakaseni na uchafu

Ezekieli 36:26

Nami nitawapa ninyi moyo mpya, nami nitatia roho mpya ndani yenu, nami nitatoa

Ezekieli 36:27

Nami nitatia roho yangu ndani yenu, na kuwaendesha katika sheria zangu, nanyi

Ezekieli 36:28

Nanyi mtakaa katika nchi ile niliyowapa baba zenu, nanyi mtakuwa watu wangu,

Ezekieli 36:29

Nami nitawaokoeni na uchafu wenu wote; nitaiita ngano, na kuiongeza, wala

Ezekieli 36:30

Nami nitazidisha matunda ya miti, na mazao ya mashamba, msipate tena kutukanwa

Ezekieli 36:31

Ndipo mtazikumbuka njia zenu mbaya, na matendo yenu yasiyokuwa mema, nanyi

Ezekieli 36:32

Ijulikane kwenu ya kuwa silitendi neno hili kwa ajili yenu, asema Bwana MUNGU;

Ezekieli 36:33

Bwana MUNGU asema hivi; Siku ile nitakapowatakaseni na maovu yenu yote,

Ezekieli 36:34

Nchi iliyokuwa ukiwa italimwa, ijapokuwa ilikuwa ukiwa mbele ya macho ya watu

Ezekieli 36:35

Nao watasema, Nchi hii, iliyokuwa ukiwa, imekuwa kama bustani ya Adeni; nayo

Ezekieli 36:36

Ndipo mataifa, waliobaki karibu yenu pande zote, watajua ya kuwa mimi, Bwana,

Ezekieli 36:37

Bwana MUNGU asema hivi, Tena kwa ajili ya jambo hili nitaulizwa na nyumba ya

Ezekieli 36:38

Kama kundi lililo tayari kutolewa sadaka, kama kundi la Yerusalemu katika