Ezekieli Mlango 29 Ezekiel

Ezekieli 29:1

Katika mwaka wa kumi, mwezi wa kumi, siku ya kumi na mbili ya mwezi, neno la

Ezekieli 29:2

Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya Farao, mfalme wa Misri, ukatabiri juu yake, na

Ezekieli 29:3

nena, useme, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ewe Farao, mfalme

Ezekieli 29:4

Nami nitatia kulabu katika taya zako, nami nitawashikamanisha samaki wa mito yako

Ezekieli 29:5

Nami nitakuacha hali umetupwa jangwani, wewe na samaki wote wa mito yako;

Ezekieli 29:6

Na watu wote wakaao Misri watajua ya kuwa mimi ndimi Bwana, kwa sababu wamekuwa

Ezekieli 29:7

Walipokushika kwa mkono wako, ulivunjika, ukawararua mabega yao yote; nao

Ezekieli 29:8

Basi, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitaleta upanga juu yako, nami nitakatilia

Ezekieli 29:9

Nayo nchi ya Misri itakuwa ukiwa na jangwa; nao watajua ya kuwa mimi ndimi Bwana;

Ezekieli 29:10

Basi, tazama, mimi ni juu yako, na juu ya mito yako, nami nitaifanya nchi ya

Ezekieli 29:11

Hautapita kati yake mguu wa mwanadamu, wala hautapita kati yake mguu wa mnyama,

Ezekieli 29:12

Nami nitaifanya nchi ya Misri kuwa ukiwa, kati ya nchi zilizo ukiwa, na miji

Ezekieli 29:13

Maana Bwana MUNGU asema hivi; Mwisho wa miaka arobaini nitawakusanya Wamisri, na

Ezekieli 29:14

nami nitawarejeza Wamisri walio katika hali ya kufungwa, nami nitawarudisha hata

Ezekieli 29:15

Utakuwa duni kuliko falme zote; wala hautajiinua tena juu ya mataifa; nami

Ezekieli 29:16

Wala hautakuwa tena tumaini la nyumba ya Israeli, kufanya maovu yakumbukwe,

Ezekieli 29:17

Ikawa katika mwaka wa ishirini na saba, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya

Ezekieli 29:18

Mwanadamu, Nebukadreza, mfalme wa Babeli, alilihudumisha jeshi lake huduma kuu

Ezekieli 29:19

Basi, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitampa Nebukadreza, mfalme wa Babeli,

Ezekieli 29:20

Nimempa nchi ya Misri kuwa malipo ya huduma aliyohudumu, kwa sababu walifanya

Ezekieli 29:21

Siku ile nitawachipushia nyumba ya Israeli pembe, nami nitakujalia kufumbua