Mwanzo 9 : 22 Genesis chapter 9 verse 22

Swahili English Translation

Mwanzo 9:22

Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.
soma Mlango wa 9

Genesis 9:22

Ham, the father of Canaan, saw the nakedness of his father, and told his two brothers outside.