Mwanzo 6 : 5 Genesis chapter 6 verse 5

Swahili English Translation

Mwanzo 6:5

Bwana akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote.
soma Mlango wa 6

Genesis 6:5

Yahweh saw that the wickedness of man was great in the earth, and that every imagination of the thoughts of his heart was only evil continually.