Mwanzo 6 : 12 Genesis chapter 6 verse 12

Mwanzo 6:12

Mungu akaiona dunia, na tazama, imeharibika; maana kila mwenye mwili amejiharibia njia yake duniani.
soma Mlango wa 6

Genesis 6:12

God saw the earth, and saw that it was corrupt, for all flesh had corrupted their way on the earth.
read Chapter 6