Mwanzo 35 : 2 Genesis chapter 35 verse 2

Mwanzo 35:2

Yakobo akawaambia watu wa nyumbani mwake, na wote waliokuwa pamoja naye, Ondoeni miungu migeni iliyoko kwenu, mjisafishe mkabadili nguo zenu.
soma Mlango wa 35

Genesis 35:2

Then Jacob said to his household, and to all who were with him, "Put away the foreign gods that are among you, purify yourselves, change your garments.
read Chapter 35