Mwanzo 35 : 11 Genesis chapter 35 verse 11

Mwanzo 35:11

Mungu akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uzidi ukaongezeke. Taifa na kundi la mataifa watatoka kwako, na wafalme watatoka viunoni mwako.
soma Mlango wa 35

Genesis 35:11

God said to him, "I am God Almighty. Be fruitful and multiply. A nation and a company of nations will be from you, and kings will come out of your loins.
read Chapter 35