Mwanzo 24 : 65 Genesis chapter 24 verse 65

Mwanzo 24:65

Akamwambia mtumishi, Ni nani mtu huyu ajaye kondeni kutulaki? Mtumishi akasema, Huyu ndiye bwana wangu. Basi akatwaa shela yake akajifunika.
soma Mlango wa 24

Genesis 24:65

She said to the servant, "Who is the man who is walking in the field to meet us?" The servant said, "It is my master." She took her veil, and covered herself.
read Chapter 24