Mwanzo 24 : 36 Genesis chapter 24 verse 36

Mwanzo 24:36

Naye Sara, mkewe bwana wangu, akamzalia bwana wangu mwana wa kiume, katika uzee wake; naye amempa yote aliyo nayo.
soma Mlango wa 24

Genesis 24:36

Sarah, my master's wife, bore a son to my master when she was old. He has given all that he has to him.
read Chapter 24