Mwanzo 24 : 20 Genesis chapter 24 verse 20

Mwanzo 24:20

Akafanya haraka, akamwaga maji ya mtungi wake katika birika, akapiga mbio kisimani ateke, akawatekea ngamia zake wote.
soma Mlango wa 24

Genesis 24:20

She hurried, and emptied her pitcher into the trough, and ran again to the well to draw, and drew for all his camels.
read Chapter 24