Mwanzo 24 : 11 Genesis chapter 24 verse 11

Mwanzo 24:11

Akawapigisha magoti ngamia nje ya mji karibu na kisima cha maji wakati wa jioni, wakati ambapo wanawake wanakwenda kuteka maji.
soma Mlango wa 24

Genesis 24:11

He made the camels kneel down outside the city by the well of water at the time of evening, the time that women go out to draw water.
read Chapter 24