Mwanzo 17 : 13 Genesis chapter 17 verse 13

Swahili English Translation

Mwanzo 17:13

Mzaliwa nyumbani mwako, na mnunuliwa kwa fedha yako, lazima atahiriwe; na agano langu litakuwa katika mwili wenu, kuwa agano la milele.
soma Mlango wa 17

Genesis 17:13

He who is born in your house, and he who is bought with your money, must be circumcised. My covenant will be in your flesh for an everlasting covenant.