Mwanzo 14 : 10 Genesis chapter 14 verse 10

Mwanzo 14:10

Na bonde la Sidimu lilikuwa limejaa mashimo ya lami. Nao wafalme wa Sodoma na Gomora wakakimbia, wakaanguka huko, nao waliosalia wakakimbia milimani.
soma Mlango wa 14

Genesis 14:10

Now the valley of Siddim was full of tar pits; and the kings of Sodom and Gomorrah fled, and they fell there, and those who remained fled to the mountain.
read Chapter 14