Mwanzo 1 : 14 Genesis chapter 1 verse 14

Mwanzo 1:14

Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka;
soma Mlango wa 1

Genesis 1:14

God said, "Let there be lights in the expanse of sky to divide the day from the night; and let them be for signs, and for seasons, and for days and years;
read Chapter 1