Mwanzo 42 : 37 Genesis chapter 42 verse 37

Mwanzo 42:37

Reubeni akamwambia babaye, akasema, Uwaue wanangu wawili nisipomrudisha kwako; mtie katika mikono yangu, nami nitamrudisha kwako.
soma Mlango wa 42

Genesis 42:37

Reuben spoke to his father, saying, "Kill my two sons, if I don't bring him to you. Deliver him into my hand, and I will bring him to you again."
read Chapter 42