Nitakase - Uninyunyizie Maji Unioshe nitakase Lyrics - Danny Gift
Danny Gift swahili
Chorus:
Uninyunyizie maji, oh ah, Uninyunyizie maji
Unioshe nitakase, Niwe mweupe kabisa
Natamani kwangu nione ukinitendea
Mvua nione ukininyeshea, moyo upone eeh
Natamani kwangu nione ukitembea,
Ukinitetea ah aah,moyo upone eh aih
aaa aah ah, aaa aah ah, naomba
Naomba dhambi zangu uoshe niwe safi
Naomba mvua inyeshe, mazao yaongezeke
Nitakase - Uninyunyizie Maji Unioshe nitakase Video
Nitakase - Uninyunyizie Maji Unioshe nitakase Lyrics
Uninyunyizie maji, oh ah, Uninyunyizie maji
Unioshe nitakase, Niwe mweupe kabisa
Uninyunyizie maji, oh ah, Uninyunyizie maji
Unioshe nitakase, Niwe mweupe kabisa
Natamani kwangu nione ukinitendea ah ah
Mvua nione ukininyeshea, moyo upone eeh
Natamani kwangu nione ukitembea,
Ukinitetea ah aah,moyo upone eh aih
aaa aah ah, aaa aah ah, naomba aah
Naomba dhambi zangu uoshe niwe safi
Naomba mvua inyeshe, mazao yaongezeke
Uninyunyizie maji, oh ah, Uninyunyizie maji
Unioshe nitakase, Niwe mweupe kabisa
Uninyunyizie maji, oh ah, Uninyunyizie maji
Unioshe nitakase, Niwe mweupe kabisa
Wash me Lord and mould and save ah ...
Uninyunyizie maji, oh ah, Uninyunyizie maji
Unioshe nitakase, Niwe mweupe kabisa
Uninyunyizie maji, oh ah, Uninyunyizie maji
Unioshe nitakase, Niwe mweupe kabisa
Remix adapted from the Original song by
Our Lady Of Fatima Kongowea Catholic Choir Uninyunyizie