Danny Gift - Kitu Gani Lyrics

Kitu Gani Lyrics

Jesus music 
Kitu gani kitanitenga na Yesu mwokozi wangu 
Kitu gani kitanitenga na Yesu mwokozi wangu 

Mali na fedha 
Hapana nimekata kabisa  
Ni anasa 
Hapana nimekata kabisa 
Pombe bangi na mademu 
Hapana nimekata kabisa 
Nimekataa 
Hapana nimekata kabisa 

Haja gani nipate vyote uzima nikose 
Sitokubali chochote kinitenge nawewe 
Najua upo na mimi sitaogopa 
Naweka imani yangu kwako wewe tu 
Shetani ananiandama nia yake nipotee 
Sitakoma kufuata neno lako nipone eeh
Utakaporudi nikuone eeh 

Kitu gani kitanitenga na Yesu mwokozi wangu 
Kitu gani kitanitenga na Yesu mwokozi wangu 
Ni anasa 
Hapana nimekata kabisa 
Mali na bei 
Hapana nimekata kabisa 
Hata kiburi 
Hapana nimekata kabisa 
Nimekataa 
Hapana nimekata kabisa 

Na good followed' I 
From the love of the father 
Na dead no fear I 
If the shadows of dead walk I 
* stuff confront I 
...
Goodness and mercy accompany I 

Shetani ananiandama nia yake nipotee 
Sitakoma kufuata neno lako nipone eeh
Utakaporudi nikuone eeh 
Utakaporudi nikuone eeh  

Kitu gani kitanitenga na Yesu mwokozi wangu 
Kitu gani kitanitenga na Yesu mwokozi wangu 
Nimekataa 
Hapana nimekata kabisa 
Hapana 
Hapana nimekata kabisa 
Hapana hapana 
Hapana nimekata kabisa 

Kitu Gani Video

Kitu Gani Lyrics -  Danny Gift

Danny Gift Songs

Related Songs