Ombi Langu - Natamani Kuingia mbinguni Lyrics - Reuben Kigame
Reuben Kigame swahili
Chorus:
Natamani kuingia Mbinguni kwa Baba yangu
Huko kunayo raha ya ajabu
Huko kuna uzima sawasawa
Kama ayala anatamani
Maji huko jangwani
Roho yangu inatamani
Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada wangu watoka wapi?
Ombi Langu - Natamani Kuingia mbinguni Video
Ombi Langu - Natamani Kuingia mbinguni Lyrics
Kama ayala anatamani
Maji huko jangwani
Roho yangu inatamani
Uso wa Baba yangu;
Natamani nifike sasa
Niabudu mbele zako
Natamani kukuishia
Hili ni ombi langu.
Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada wangu watoka wapi?
Kweli ni kwako Bwana.
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Mwamba wangu
Wewe mpenzi wangu
Wewe Mwokozi wangu.
Siku nyingi nimetumika
Kwa kazi yako Bwana
Lakini sitaki Bwana
Nikose kuona wewe.
Hili ni ombi langu
Hili ni ombi langu
Hili ni ombi langu
Hili ni ombi langu.
Natamani kuingia Mbinguni kwa Baba yangu
Huko kunayo raha ya ajabu
Huko kuna uzima sawasawa
Natamani kumwona Bwana Yesu Mwokozi wangu ...
Yeye ukimuona anameremeta ...
Yeye ukimfahamu ni uzima tele tele ...
Hili ni ombi langu la milele
Kufika kwake
Kumtumikia
Kumfahamu
Ni ombi langu
Hakuna Mungu kama wewe
Tanzania Kenya Ukienda Ulaya
Hakuna Mungu kama wewe
Msalaba wa Yesu msalaba
Umeniokoa dhambi Hallelujah