Wastahili Bwana

'Audio Mp3 Preview Courtesy of iTunes listen on Itunes Music View on amazon

Wastahili Bwana.
Wastahili Bwana.
Ulikufa msalabani,
niokolewe,
wastahili Bwana

Wastahili Bwana.
Wastahili Bwana.
Ulibeba mizigo yangu,
sasa ni huru,
Wastahili Bwana


Uliacha utukufu wako.
Ukaishi kati yetu kwa mapendo.
Ulipatwa na simamzi ulinifia
Wastahili Bwana


Uliwekwa kaburini Bwana.
Ukafufuka wewe Bwana wangu.
Ulipaa juu mbinguni na watawala
Nakusifu Yesu

Theme: You are worthy oh LordShare:
1 Comments

Comments / Song Reviews

Martin To God be the glory 9 months ago

Share your understanding & meaning of this song


Reuben Kigame

@reuben-kigame

Bio

View all songs, albums & biography of Reuben Kigame

View Profile

Bible Verses for Wastahili Bwana

Psalms 103 : 1

Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu.

Revelation 4 : 11

Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa.

Revelation 5 : 12

wakisema kwa sauti kuu, Astahili Mwana-Kondoo aliyechinjwa, kuupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima na utukufu na baraka.

Mp3 Songs & Download from iTunes

listen on Itunes Music

Sifa Lyrics

Social Links