Martha Mutune - Nimehitaji Mwokozi Lyrics
Lyrics
Nimehitaji Mwokozi awe nami daima Nataka mkono wake kunizunguka sana Hofu rohoni sina, aniongoze tena Sitanung'nika tena, nikufuate daima
Nimehitaji mwokozi sina imani nyingi Atanifufua moyo wengine hawawezi Hofu rohoni sina, aniongoze tena Sitanung'nika tena, nikufuate daima
Nimehitaji mwokozi mwendoni mwa maisha Katika mateso mengi, tena katika vita Hofu rohoni sina, aniongoze tena Sitanung'nika tena, nikufuate daima
Nimehitaji mwokozi kiongozi njiani Kwa jicho aniongoze nifike mbinguni Hofu rohoni sina, aniongoze tena Sitanung'nika tena, nikufuate daima
Hofu rohoni sina, aniongoze tena Sitanung'nika tena, nikufuate daima
Video
NIMEHITAJI MWOKOZI by Martha Mutune