Sifa Lyrics

Heri Taifa by Israel Mbonyi cover art

Israel Mbonyi - Heri Taifa Lyrics

Artist:
Israel Mbonyi
Album:
Heri Taifa (Live) - EP
Official Release:
27 Jul 2024

Lyrics

Verse :


Nikasikia sauti nyikani 


Tengenezeni njiya yake, 


nyosheni mapito yake 


Sogeleeni kiti cha neema 


Mpate utakaso 


Oh what a blessing 


Oh what a grace 


Heri aoshae (afuae),


Kanzu yake ndani ya damu 


Akiliamini neno alilo ambiwa nae 


Atakua kama Mti kando ya maji 


Majani yake huyo, 


Yatakua ma bichi daima.


Chorus : 


Heri walio na hilo agano 


Wanaye Mungu Kama mwokozi wao


Watasitawi nyumbani mwake 


Hao wataitwa wana wa upendo.


Tutasitawi nyumbani mwake 


Sisi, tutaitwa wana waupendo


Verse : 


moyo wangu, Sifu mungu 


sifu mungu sifu mungu



  • Nuru ilikuangaziya We Uliye mpole, 


Utairithi inchi, Utafarijiwa 



  • Nuru ilikuangaziya mwenye moyo safi Utabarikiwa, Utamuona mungu 


Bridge :  


Heri taifa ambalo Bwana ni mungu wao,


Ni wana wa upendo 


Aliyo wachagulia, kuwa urithi wake.


Video