Patrick Kubuya - Nakupenda Lyrics

Nakupenda Lyrics

Yote ya dhamani kwangu ni wewe
Nakupenda bwana yesu
Umechaza moyo wangu na furaha
Nakupenda bwana yesu

Maisha yangu ni bure bila wewe
Bila wewe ni kifo
Ni wewe jiwe nguzo ya uzima wangu
Bila wewe sifai 

Nakupenda bwana yesu
Nakupendaa Yesu 
Nimekuchagua 
Nimekuchagua uwe wangu milele

Ndani ya wengi
Macho yangu yamekuona sitaki mwengine
Nimekuchagua pekee yako
Ndiye moyo umependa sitaki mwengine
Nimekuchagua pekee yako

Ndani ya wengi
Macho yangu yamekuona sitaki mwengine
Nimekuchagua pekee yako
Ndiye moyo umependa sitaki mwengine
Nimekuchagua pekee yako

Bwana Yesu
Yesu 
Mwokozi wangu, tegemeo langu
Yesu Yesu 
Wewe ndiwe wangu 
Yesu Yesu Yesu Yesu 
Wewe ndiwe wangu 

Nakupenda bwana yesu
Nakupendaa Yesu 
Nimekuchagua 
Nimekuchagua uwe wangu milele

Ndani ya wengi
Macho yangu yamekuona sitaki mwengine
Nimekuchagua pekee yako
Ndiye moyo umependa sitaki mwengine
Nimekuchagua pekee yako




Nakupenda Video

Patrick Kubuya Songs

Related Songs