Sifa Zako Bwana Lyrics

Patrick Kubuya swahili

Chorus:
simama pokea sifa na shangwe
uishi milele
mungu wa rehema
simama pokea sifa na shangwe
uishi milele
mungu wa rehema

Sifa Zako Bwana Video

Sifa Zako Bwana Lyrics

Wimbo na sifa ni zako bwana
msaada wa karibu
mwamba imara twakuabudu
kimbilio letu wewe
wewe ni bawana juu ya mabwana
kila goti litakuja mbele zako
mungu wa Israeli kila ulimi
hukiri kwamba yesu ni bwana

Wimbo na sifa ni zako bwana
msaada wa karibu
mwamba imara twakuabudu
kimbilio letu wewe
wewe ni bawana juu ya mabwana
kila goti litakuja mbele zako
mungu wa Israeli kila ulimi
hukiri kwamba yesu ni bwana

sifa zako baba ee 
sisi hatutaguza 
nafasi yako baba ee
nani atachukua
mbingu nazo nchi 
wewe unatawala
mapenzi yako baba ee
jinsi inafanyika

sifa zako baba ee 
sisi hatutaguza 
nafasi yako baba ee
nani atachukua
mbingu nazo nchi 
wewe unatawala
mapenzi yako baba ee
jinsi inafanyika

wewe ni mungu,hakuna kama wewe
zaidi yako hakuna mwengine
mungu wa israeli

sifa zako baba ee 
sisi hatutaguza 
nafasi yako baba ee
nani atachukua
mbingu nazo nchi 
wewe unatawala
mapenzi yako baba ee
jinsi inafanyika

Hatuoni mwengine kama wewe
ila wewe tu wadumu milele yote
ee baba
Hatuoni mwengine kama wewe
ila wewe tu wadumu milele yote
ee baba

Ale Yesu
Yesu
Yesu
mungu wa rehema
Ale Yesu
Yesu
Yesu
pokea
sifa na shangwe
Ale Yesu
Yesu
Yesu
mungu wa rehema
Ale Yesu
Yesu
Yesu
pokea
sifa na shangwe

simama
simama pokea sifa na shangwe
uishi milele
mungu wa rehema
simama
simama pokea sifa na shangwe
uishi milele
mungu wa rehema

Ale Yesu
Yesu
Yesu
mungu wa rehema
Ale Yesu
Yesu
Yesu
pokea
sifa na shangwe
Ale Yesu
Yesu
Yesu
mungu wa rehema
Ale Yesu
Yesu
Yesu
pokea
sifa na shangwe

simama
simama pokea sifa na shangwe
uishi milele
mungu wa rehema
simama
simama pokea sifa na shangwe
uishi milele
mungu wa rehema

simama
simama pokea sifa na shangwe
uishi milele
mungu wa rehema
simama
simama pokea sifa na shangwe
uishi milele
mungu wa rehema

yesu anastahili sifa 
yesu anastahili sifa 
yesu anastahili sifa 
milele na milele zitabaki kuwa zako

sifa zote ni zako
heshima nazo ni zako
milele na milele utabaki kuwa mungu

yesu anastahili sifa 
yesu anastahili sifa 
milele na milele

simama pokea sifa na shangwe
uishi milele
mungu wa rehema
simama pokea sifa na shangwe
uishi milele
mungu wa rehema

yesu anastahili sifa 
yesu anastahili sifa 
mungu wa milele
milele na milele

simama pokea sifa na shangwe
uishi milele
mungu wa rehema
simama pokea sifa na shangwe
uishi milele
mungu wa rehema