Neema Yako Lyrics

Patrick Kubuya swahili

Chorus:
Ee Bwana
ee Bwana
ee Bwana
ee Bwana
ni wewe
ni wewe
ni wewe
ni wewe
ee Bwana
ee Bwana
ee Bwana
ee Bwana
ee Bwana Yesu
ee Bwana

Neema Yako Video

Buy/Download Audio

Neema Yako Lyrics

Hapo nimefika si nguvu zangu nimeona mkono wako
Hapo nimefika si nguvu zangu nimeona mkono wako
chote ninacho si akili zangu nimeishi upendo wako
chote ninacho si akili zangu nimeishi upendo wako
umejivunua kuwa yote kwangu bila wewe mimi si kitu
umejivunua kuwa yote kwangu bila wewe mimi si kitu
hata nipate na hata nikose neeema yako yanitosha
hata nipate na hata nikose neeema yako yanitosha
hata nipate na hata nikose neeema yako yanitosha

Hoo hoo bwana wangu Yesu
hooo Yesu 
neema yako 
neema yako yanitosha
hooo Yesu 
neema yako 
neema yako yanitosha
hooo Yesu 
neema yako 
neema yako yanitosha
hooo Yesu 
neema yako 
neema yako yanitosha

Ee Bwana wangu Yesu
ee Bwana
wewe 
wewe wanitosha ee Bwana
ee Bwana
wewe 
wewe wanitosha ee Bwana
ni wewe masaada 
ni wewe masaada Bwana 
ni wewe kimbilio
ni wewe kimbilio langu Bwana
ni wewe mtetezi 
ni wewe mtetezi wangu Bwana
ni wewe tumaini langu
ni wewe tumaini langu Bwana
ni wewe kimbilio
ni wewe kimbilio langu Bwana

Ee Bwana 
ee Bwana 
ee Bwana 
ee Bwana 
ni wewe
ni wewe 
ni wewe
ni wewe 
ee Bwana 
ee Bwana 
ee Bwana 
ee Bwana 
ee Bwana Yesu
ee Bwana 
anayetutosha
ni wewe
anayetulinda
wewe
ee Bwana 
ee Bwana 
tumaini letu
ni wewe
we wanitosha ee Bwana
ni wewe tumaini letu 
ni wewe tumaini letu ee Bwana

Ee Bwana 
ee Bwana 
ee Bwana 
ee Bwana 
ni wewe
ni wewe 
ni wewe
ni wewe 
ee Bwana 
ee Bwana 
ee Bwana 
ee Bwana 
ee Bwana Yesu
ee Bwana 
anayetutosha
ni wewe
anayetulinda
wewe
ee Bwana 
ee Bwana 
tumaini letu
ni wewe
we wanitosha ee Bwana
ni wewe tumaini letu 
ni wewe tumaini letu ee Bwana
ee Bwana 
ni wewe
we wanitosha ee Bwana
ni wewe tumaini letu 
ni wewe tumaini letu ee Bwana