Sifa Lyrics

Wewe Ndiwe by Ali Mukhwana cover art

Ali Mukhwana - Wewe Ndiwe Lyrics

Artist:
Ali Mukhwana

Lyrics

Niwe, niwe kiongozi wangu
Niwe, niwe kiongozi wangu
Wewe niwe kiongozi wangu
Wewe niwe mlinzi wangu


Rabana nikulipe nini 
Kwa yale yote unayonitendea
Unayoitendea


Umenipa uwezo wa kuona siku nyingine
Umenipa neema mbele ya wanadamu
Mbele zako wewe niwe 


Wewe niwe, kiongozi wangu
Wewe niwe mlinzi wangu
Mlinzi wangu daima ni wewe
Kiongozi wangu baba, mlim=nzi wangu
Tegemeo la moyo ni wewe yea yeah bwana


Jehovah Nissi, -- sema
Tegemeo la moyo wangu


Wewe niwe, kiongozi wangu
Wewe niwe mlinzi wangu


Hao watesi wanaokusumbua
Usilie hautawai waona tena
Wanaokuhangaisha kila siku
Usilie yuko bwana


Wewe niwe, kiongozi wangu
Wewe niwe mlinzi wangu
Wakati wa majaribu
Wakati wa shida 


Niwe, niwe, kiongozi wangu
Niwe, niwe, kiongozi wangu


Video