Lyrics
Sijawahi ona
Sijawahi ona Mungu anayeokoa namna hii,namna hii

Kwenye Shimo la Simba ulifunga Vinywa vyao,Sijawahai ona
Sijawahai ona Wokovu namna hii
Kwenye Tanuri la Moto hawakuteketea sijawahi ona
Sijawahai ona wokovu namna hii
Kwenye BBahari ya Shamu ulifanya Njia sijawahi ona
Sijawahai ona wokovu namna hii
Kweli Sijawahai