Wanakufananisha Lyrics - Zoravo

Zoravo swahili

Wanakufananisha Lyrics

Je ni nani wa kulinganishwa na weeee
Walikufananisha na Musa
Walikufananisha na Eliaa
Walikufananisha na Musa
Walikufananisha na Eliaa!
Hayupo kama wewe
Hayupo kama wewe
Hayupo kama wewe
Hayupo kama wewe
Hayupo kama wewe
Walikufananisha na Musa
(Walikufananisha)
Walikufananisha na Eliaa
(Walikufananisha)
Walikufananisha na Musa
(Twende Walikufananisha)
Walikufananisha na Eliaa
Leo
(Wanakufananisha)
Wanakufananisha na Musa
(Haoo wanakufananisha)
Wanakufananisha na Elia
(Wanakufananiisha)
Wanakufananisha na Musa
(Wanakufananisha)
Wanakufananisha na Eliaa
Wakati hayupo kama wewe Bwana!
Hayupo kama wewe
(Bwana kama wewe)
Hayupo kama wewe
(Kweli kama wewe)
Hayupo kama wewe
(Kama wewe ×3)
Hayupo kama wewe

Sing
Je ni nani wa kulinganishwa nawe
Je ni nani wa kufananishwa nawe
Je ni nani wa kulinganishwa nawe
Je ni nani wa kufanani...
Everybody. Je ni naniiii
Je ni nani wa kulinganishwa nawe
(Je ni nani)
Je ni nani wa kufananishwa nawe
(Je ni nani)
Je ni nani wa kulinganishwa nawe
(Je ni nani)
Je ni nani wa kufananishwa nawe
(Je ni naniii)
Je ni nani wa kulinganishwa nawe
(Je ni nani)
Je ni nani wa kufananishwa nawe
(Je ni nani)
Je ni nani wa kulinganishwa nawe
(Je ni naanii)
Je ni nani kwa kufananishwa nawe
Hayupo kama wewe
(Aya alee kama wewee)
Hayupo kama wewe
(Alee ayaaa kama wewe)
Hayupo kama wewe
(Bwana kama weweee)
Hayupo kama wewe

(We go dance everybody yeaaah)
Nisikie vigelegele kwa Yesu
Hayupo kama wewe
(Hayupo kama weweee)
Hayupo kama wewe
(Sijaona kama wewe)
Hayupo kama wewe
(Haya alee kama wewee)
Hayupo kama wewe
(Bwana kama wewe)
Hayupo kama wewe
Hakuna kama Yesu Hallelujah!


Wanakufananisha Video