Florence Andenyi

Kimbilio Langu ni Yesu Msaada wangu Lyrics

Kimbilio langu ni yesu ,Msaada wangu ni Yahweh
Kimbilio langu ni yesu ,Msaada wangu ni Yahweh

Nilipokuwa na magonjwa
msaada wangu ni yesu
Nilipokuwa na shida
kimbilio langu ni yesu,

Nilipotazama juu nikaita msaada tosha,
Msaada wa Baraka ,msaada wa uponyaji, Eeh yesu we

Pokea sifa pokea sifa na utukufu baba pokea sifa eeh
Pokea sifa pokea sifa na utukufu baba, pokea sifa eeh

Wewe ni mwema, wewe ni mwema
wewe ni mwema maishani mwangu, Wewe ni mwema eeh
wewe ni mwema maishani mwangu baba, wewe ni mwema aah

Umetambulika, umetambulika dunia yote,umetambulika aah
Umetambulika, umetambulika dunia yote,umetambulika aah

Kimbilio langu ni yesu ,Msaada wangu ni Yahweh
Kimbilio langu ni yesu ,Msaada wangu ni Yahweh

Nani kama wewe, nani kama wewe
hakuna mwingine kama wewe Baba,Umetambulika aah
hakuna mwingine kama wewe Baba,Umetambulika aah

Umeinua moyo wangu,umetambulika
Umenipa siku njema baba ,umetambulika aah
Umekuwa mwema tena ,umetambulika aah

Kimbilio Langu ni Yesu Msaada wangu Video