Jina Yesu jina lako lagusa moyo
Jina Yesu jina lako laponya magonjwa
Jina lako Baba jina lako lagusa moyo wangu
Jina Yesu jina lako laponya magonjwa .
Nimeona jina lako likitenda mema
Baba jina lako tu
Jina Yesu jina lako laponya magonjwa .
Sitaogopa milima sitaogopa giza
Nikiwa na jina la Yesu
Niko sawa sawa .
Mgonjwa usihofu uliyefungwa usihofu
Kuna uponyaji unashuka kwa jina la Yesu .
Jina Yesu jina lako lagusa moyo
Jina Yesu jina lako laponya magonjwa
Jina lako Yesu Baba jina lako lagusa moyo wangu
Jina Yesu jina lako laponya magonjwa .
Nimeona jina lako likitenda makuu
Baba jina lako tu
Jina Yesu jina lako laponya magonjwa .
Heri niitanishwe na jina lako milele
Heri niunganishwe na jina lako milele Yesu
Jina lako ni taa ya miguu yangu
Jina lako uzima mifupani mwangu
Hakuna aliyeliita jina lako akabaki jinsi alivyo
Jina lako ni power power power
Jina lako ni ngao Jina lako uzima
Jina lako ni power power power
Jina lako ni ngao maishani mwangu Yesu
Jina lako ni power mifupani mwangu eeh
Jina lako ni power power power
Jina lako ni power power power .
Jina Yesu jina lako lagusa moyo
Jina Yesu jina lako laponya magonjwa
Jina lako ni tamu sana Baba linagusa moyo wangu eeh
Jina Yesu jina lako laponya magonjwa .
Limeshinda majina yote duniani baba jina lako
Jina Yesu jina lako laponya magonjwa
Nimeona jina lako likitenda makuu
Baba jina lako tu
Jina Yesu jina lako laponya magonjwa
Write a review/comment/correct the lyrics of Jina Lako:
No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section