Pokea sifa kwa matendo uliyotenda

Pokea sifa, pokea sifa, pokea sifa
kwa matendo yote uliyotenda pokea sifa ,
Kwa neema yote dunia nzima amen,
Halleluyah oh.

Nilikuwa nasimuliwa matendo yako,
Nikasimuliwa wema wako ,
Nani kama wewe eeh yesu,
Oh uliponya vipofu wakaona ,
tena ukafanya visiwi wakasikia,
ona umefanya viwete wakatembea ,
ooh Samaki wawili mikate mitano ,
ulilisha watu elfu tano,
Oh yesu we,

Oh nikikosa mavazi utanivisha ,
tena nikikosa chakula utanilisha,
nikikumbwa na magonjwa utaniponya,
mponyaji wa roho yangu ni wewe yesu ,
Kimbilio la maisha yangu ni wewe baba ,oh

Pokea sifa, pokea sifa, pokea sifa
kwa matendo yote uliyotenda,pokea sifa ,
Kwa neema yote dunia nzima amen,
Halleluyah oh.

Kama vile ulituliza bahari yesu we
Kama vile ulituliza mawimbi baba,
Tuliza magonjwa yote leo,
Kama vile ulituliza mawimbi baba,
Kama vile ulituliza bahari yesu we
Tuliza mawazo yangu leo,
Tuliza kilio change leo

Pokea sifa, pokea sifa, pokea sifa
kwa matendo yote uliyotenda pokea sifa ,
Kwa neema yote dunia nzima amen,
Halleluyah oh.


Share:

Write a review of Pokea Sifa Kwa Matendo Uliyotenda:

0 Comments/Reviews

Florence Andenyi

@florence-andenyi

Bio

View all songs, albums & biography of Florence Andenyi

View Profile

Bible Verses for Pokea sifa kwa matendo uliyotenda

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

Mp3 Songs & Download from iTunes

  • listen on Itunes Music