Sifa Lyrics

Jibu Si Kifo by Kaki Mwihaki cover art

Kaki Mwihaki - Jibu Si Kifo Lyrics

Artist:
Kaki Mwihaki

Lyrics

Ume jawa hasira flani, maswali fikira kali
Watafuta ni nini hufanyi?
Maishani hauna amani
Ume jawa hasira flani, maswali fikira kali
Watafuta ni nini hufanyi?
Weh mnona hauna amani


Hilo jibu si kifo oh
Hilo jibu si kifo oh
Jibu jibu la kweli
Jibu jibu ni Yesu
Halali habadiliki
Jemedari amani shwari
Jibu jibu la kweli
Jibu jibu ni Yesu
Halali habadiliki
Jemedari amani shwari


Mapenzi kageuka utani
Wawili kubebana vi funny
Mazao hazionekani, biashara nazo hazisimami
Woi jamani pepo gani ?
Jiepushe na muovu shetani
Watafuta ni nini hufanyi
Weh mbona huna amani


Hilo jibu si kifo oh
Hilo jibu si kifo oh
Jibu jibu la kweli
Jibu jibu ni Yesu
Halali habadiliki
Jemedari amani shwari
Jibu jibu la kweli
Jibu jibu ni Yesu
Halali habadiliki
Jemedari amani shwari


Jibu hilo, jibu hilo
Jibu hilo oooh ni Yesu
Jibu hilo, jibu hilo
Jibu hilo oooh ni Yesu


Video