Mbarikiwa - Kale Nilitembea Lyrics

Lyrics

Kale nilitembea Nikilemewa dhambi Nilikosa msaada Kuniponya mateso

Kale nilitembea Nikilemewa dhambi Nilikosa msaada Kuniponya mateso

Usifiwe msalaba Lisifiwe kaburi Linalozidi yote Asifiwe mwokozi

Usifiwe msalaba Lisifiwe kaburi Linalozidi yote Asifiwe mwokozi

Hata nilipofika Mahali pa msalaba Palinifaa sana Sitasahau kamwe

Hicho ndicho chanzo Cha kufurahi kwangu Hapo ndipo mzigo Uliponituliwa

Hicho ndicho chanzo Cha kufurahi kwangu Hapo ndipo mzigo Uliponituliwa

Hicho ndicho chanzo Cha kufurahi kwangu Hapo ndipo mzigo Uliponituliwa

Usifiwe msalaba Lisifiwe kaburi Linalozidi yote Asifiwe mwokozi

Panapo msalaba Kinatolewa cheti Cha kuingia mbinguni Kisicho cha kanisa

Usifiwe msalaba Lisifiwe kaburi Linalozidi yote Asifiwe mwokozi yule Bwana mjinga Likwenda bila Cheti kitumai kwingia

Kama walio nacho lipofika langoni akaulizwa cheti cha kumwonyesha Bwana akakutwa hanacho lituhuzunishalo ni ninyi msio nacho kuwa kama mjinga kwa siku ya arusi ubavuni mwa Yesu mlitokea damu chemchemi ya uzima itakasayo roho jitahidi wingie damuni mwa mwokozi utafutiwa dhambi toka rohoni mwako

Video

Kale nilitembea by Mbarikiwa Mwakipesile

Thumbnail for Kale Nilitembea video
Loading...
In Queue
View Lyrics