Sifa Lyrics

Cha Kutumaini Sina Ila Damu yake Yesu by Mbarikiwa Mwakipesile cover art

Mbarikiwa Mwakipesile - Cha Kutumaini Sina Ila Damu yake Yesu Lyrics

Artist:
Mbarikiwa Mwakipesile

Lyrics

Verse 1


Cha kutumaini sina, ila damu yake Bwana
Sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha


Chorus (x4)


Kwake Yesu nasimama, ndiye Mwamba ni salama
Ndiye Mwamba ni salama, ndiye Mwamba ni salama


Verse 2


Damu yake na sadaka, nategemea daima
Yote chini yakiisha, Mwokozi atanitosha.


Verse 3


Njia yangu iwe ndefu, Yeye hunipa wokovu
Mawimbi yakinipiga, nguvu zake ndiyo nanga


Verse 4


Nikiitwa hukumuni, rohoni nina amani
Nikivikwa haki yake, sina hofu mbele yake


Outro


Credits & Song Information

Performed By
Mbarikiwa Mwakipesile na Familia na Kikosi Kazi cha Injili
Source verified · YouTube

Add song information · Add a supporting source

Video

Meaning & Inspiration

Toleo hili linamtambulisha Mbarikiwa Mwakipesile pamoja na familia na Kikosi Kazi cha Injili katika uimbaji wa tenzi wenye msisitizo wa pamoja. Mpangilio wa beti na kiitikio unaweka wazi muundo wa wimbo bila kurudia maandishi yale yale kila mara.

Ujumbe wake unajikita katika tumaini, msamaha na usalama unaopatikana kwa Yesu. Taswira ya mwamba katika kiitikio huunganisha beti na kuupa wimbo mwelekeo mmoja wa imani na uthabiti.