Sauti Sol - Kamasutra Lyrics
Lyrics
Oooh Leo kama Kamasutra mama (Kamasutra) Kama kama Kamasutra mama (yeah yeah yeah yeah) Kama kama Kamasutra baba (Kamasutra) Kama Kamasutra baba yeah yeah yeah... (Kamasutra)
Ntakupa kazi upande mlima baby yeah Na siri zangu zote ntatoboa yeah... So many things I want to do to you my baby yeah Na siri zako mi sitatoboa
Huh Selector, I got something to make you better Light the fire me napepeta Light the fire me napepeta
Selector I got someething to make you better Light the fire me napepeta Light the fire me napepeta
Leo kama Kamasutra mama... (Kamasutra) Kama kama Kamasutra beiby (yeah yeah yeah yeah) Kama kama Kamasutra baba eeh (Kamasutra) Kama Kamasutra baba yeah yeah yeah... (Kamasutra)
Chali wa Nairobi Manzi wa Kipare Leo ni mahaba nakupatia
Ushawasha nare Hanjam kare Leo michuano kiroja mila
Na si malimali (aah) Hii vibe kali (aah) Cash madame nakubalika
Mboga juu ya meza Teleza ki murenda Washa wood-i na kadhalika
Oooh Venessa I got something to make you wetter Baby let me kiss you better Light the fire mi napepeta
Selector I got something to make you rise up Lemmi back it up on you Light the fire mi napepeta
Leo kama Kamasutra (kamasutra) Kamasutra (Kamasutra) Kama kama Kamasutra (Kamasutra) Kamasutra (Kamasutra)
Mapenzi ya kihuni yanimaliza Kiuno kama nyingu baby punguza Nishakubali wanafunzi Wewe Professor wa Kamasutra
Mapenzi ya kihuni nimepachika (pachika) Kiuno kama Nicky beiby tulia(tulia) Kubali wanafunzi mimi ni Professor(professor) (Kamasutra)
Mizani kama mimi naondoka nawee Napiga mahesabu naondoka nawee Na mimi nimekubali Kuondoka na wewe, na wewe (Kamasutra)
Mizani kama mimi naondoka nawee Napiga mahesabu naondoka nawee Na mimi nimekubali kuondoka na wewe Na wewe, baba nielewe
Leo kama Kamasutra(Kamasutra) Kamasutra(Kamasutra) Na kama kama Kamasutra (Kamasutra aah aaah...) Kamasutra.
Video
Sauti Sol - Kamasutra ft Vanessa Mdee (Official Audio) SMS [Skiza 1052062] to 811