Jessica Honore - Mwamba Lyrics

Contents:

Mwamba Lyrics

Hallelujah, hey hey
Nimeketi juu ya mwamba
Mwamba ndiwe Yesu

(Still Alive )

Mwamba, mwamba, mwamba
Mwamba ni Yesu
Mwamba, mwamba, mwamba
Mwamba ni Yesu

Mshindi, mshindi, mshindi
Mshindi ni Yesu
Mshindi, mshindi, mshindi
Mshindi ni Yesu

Mwamba ni Yesu
Mwamba ni Yesu eeeh eeeeh 
Aaaah, mwamba ni Yesu eeeh
Mshindi ni Yesu, mshindi ni Yesu eeeh
Mshindi ni Yesu eeeh

Kwa kupigwa kwako nimepona
Jina langu limendikwa mbinguni
Kifo na mauti umeshinda
Deni langu umenilipia

Zile laana za mababu na mabibi
Umefuta kwa damu yako
Zile laana za mababu na mabibi
Umefuta kwa damu yako

Mwamba, mwamba, mwamb
Mwamba ni Yesu
Mwamba, mwamba, mwamb
Mwamba ni Yesu

Mshindi, mshindi, mshindi
Mshindi ni Yesu
Mshindi, mshindi, mshindi
Mshindi ni Yesu eeeh'

Mwamba ni Yesu eeh
Mwamba ni Yesu eeeh
Mwamba ni Yesu eeeh

Mshindi ni Yesu eeh
Mshindi ni Yesu eeeh
Mshindi ni Yesu eeeh

Matopeni umenitoa, aah
Na wako nimeketishwa
Na magonjwa umeniponya
Shida zote umeondoa

Zile laana za mababu na mabibi
Umefuta kwa damu yako
Zile laana za mababu na mabibi
Umefuta kwa damu yako

Mwamba, mwamba, mwamba
Mwamba ni Yesu
Mwamba, mwamba, mwamba
Mwamba ni Yesu

Mshindi, mshindi, mshindi
Mshindi ni Yesu
Mshindi, mshindi, mshindi
Mshindi ni Yesu eeeh

Mwamba ni Yesu eeh
Mwamba ni Yesu eeeh
Mwamba ni Yesu eeeh

Mshindi ni Yesu eeh
Mshindi ni Yesu eeeh
Mshindi ni Yesu eeeh

Mwamba, mwamba, mwamba
Mwamba ni Yesu
Mwamba, mwamba, mwamba
Mwamba ni Yesu

Mshindi, mshindi, mshindi
Mshindi ni Yesu
Mshindi, mshindi, mshindi
Mshindi ni Yesu eeeh

Mwamba ni Yesu eeh
Mwamba ni Yesu eeeh
Mwamba ni Yesu eeeh

Mshindi ni Yesu eeh
Mshindi ni Yesu eeeh
Mshindi ni Yesu eeeh


Jessica Honore Songs

Related Songs