Sifa Lyrics

Tumaini Langu Ni Yesu by Jessica Honore cover art

Jessica Honore - Tumaini Langu Ni Yesu Lyrics

Artist:
Jessica Honore

Lyrics

Aliyeanzisha kazi ndani yangu
Ni yeye atakayetimiliza aa aah
Hatoacha hatua yangu usongezwe
Ananilinda kusudi lake
Atakako akiniacha yeye yuko nami
Marafiki wakinitenga yeye yuko nami
Atakako akiniacha yeye yuko nami
Marafiki wakinitenga yeye yuko nami

Kama uko kinyume nami jua uko kinyume naye
Maana sikutii utani, aliyeniita ni yeye

Tumaini langu ni Yesu, Uzima wangu ni Yesu
Ushindi wangu ni Yesu ni Yesu ni Yesu
Tumaini langu ni Yesu, Uzima wangu ni Yesu
Ushindi wangu ni Yesu ni Yesu ni Yesu

Haijalishi ni mtaa gani umezunguka

Ahadi ya Mungu kwako itatimia
Usipokata tamaa moyoni zimia

Video