Sifa Lyrics

Moyoni Mwangu by Ambassadors of Christ Choir cover art

Ambassadors of Christ Choir - Moyoni Mwangu Lyrics

Artist:
Ambassadors of Christ Choir

Lyrics

Moyoni mwangu ninashukuru jina lake Bwana
Na roho yangu inafurahi kwa sababu ya pendo lake
Alitupenda sisi wandamu ooh alitupenda
Akamtuma Yesu mwanawe aje atuokoe

Ooh Mungu Wangu
Mungu wangu Bwana Wangu, Ulipenda ulimwengu
Ukamtuma mwana wako, aje atukomboe
Nasi tunakushukuru sababu ya pendo lako x2


Tangu sasa watu wa dunia wamshukuru Mungu
Ametimiza ahadi yake kweli ametupendeza
Pendo lake halina kipimo ooh alitupenda
Bila shaka ametuokoa tumwimbie kwa Shangwe


Mungu wangu Bwana Wangu, Ulipenda ulimwengu
Ukamtuma mwana wako, azeje atukomboe
Nasi tunakushukuru sababu ya pendo lako


Mungu wangu Bwana Wangu, Ulipenda ulimwengu
Ukamtuma mwana wako, azeje atukomboe
Nasi tunakushukuru sababu ya pendo lako




Video