Christ Ambassadors - Mtegemee Yesu Lyrics

Lyrics

Mambo mengi yakupata ndugu yanayokuumiza moyo hata ukimwomba Mungu waona kama vile amekutenga Maisha magumu shida tupu wapepeshwa dunia nzima unapapasa hapa na pale bila kupata msaada

umeanza kukata tamaa, imani yako inayumbayumba unajisikia upweke, umeachwa kama yatima utokako ni mbali sana, kiasi kwamba huwezi rudi mbele huenda kunako giza, umekosa matumaini;

magumu shida yakupatayo ndugu, ni ya muda kidogo kamwe yasikutenganishe na yule, rafiki wa kweli hebu itegemee ahadi yake, kwamba atakuwa nawe hata kwenye wakati huo mgumu, mtegemee Yesu

Umesongwa nazo shida nyingi, lakini mkumbuke Ayubu alivyozidiwa nayo majaribu, akasimama imara japo yako imefanywa wimbo, nao waumini wenzako sawa na wale marafiki za, Ayubu walivyomcheka Usiiruhusu shida yako, kukunyakua mkononi mwa bwana jibu lako ni yeye pekee, tegemeo na kimbilio hata wenzako wakutenge, vumilia utayashinda ndugu jipe moyo mtetezi yupo, magumu atarahisisha;

Magumu shida yakupatayo ndugu, ni ya muda kidogo kamwe yasikutenganishe na yule, rafiki wa kweli hebu itegemee ahadi yake, kwamba atakuwa nawe hata kwenye wakati huo mgumu, mtegemee Yesu

Umeanza kukata tamaa, imani yako inayumbayumba unajisikia upweke, umeachwa kama yatima utokako ni mbali sana, kiasi kwamba huwezi rudi mbele huenda kunako giza, umekosa matumaini usiiruhusu shida yako, kukunyakua mkononi mwa bwana jibu lako ni yeye pekee, tegemeo na kimbilio hata wenzako wakutenge, vumilia utayashinda ndugu jipe moyo mtetezi yupo, magumu atarahisisha

Magumu shida yakupatayo ndugu, ni ya muda kidogo kamwe yasikutenganishe na yule, rafiki wa kweli hebu itegemee ahadi yake, kwamba atakuwa nawe hata kwenye wakati huo mgumu, mtegemee Yesu

Video

MTEGEMEE YESU, AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR, COPYRIGHT RESERVED 2012

Thumbnail for Mtegemee Yesu video

Meaning & Inspiration

I keep thinking about how the song talks about feeling like an orphan, totally alone when life gets heavy, and honestly, that hits hard. It acknowledges that shaky, hollow feeling when you've been praying and it feels like the heavens are brass. That part where it mentions being a "song" for other believers to mock—it pulls that straight from the Job story. You know, Job’s friends just couldn’t leave it alone; they had to turn his pain into some kind of proof that he messed up. It’s a harsh reality that even in the church, people might look at your suffering like it’s a failure, but the song pushes back against that by telling us to fix our eyes on Jesus anyway. It’s like it's saying your worth isn't found in what people say or whether your life looks put together.

Then it lands on that phrase, that these trials are just "for a little while." I know Peter wrote something similar about suffering being brief compared to the weight of glory, but it’s still tough to hold onto when you’re in the middle of it. Is it really just a little while? Sometimes it feels like a lifetime. But then the lyrics bring up Job again, specifically his persistence. It’s not promising that the pain just vanishes instantly, but it’s telling you to hold on to the Savior. It feels grounded, not like those songs that promise you’ll be a millionaire if you just believe enough. It’s just urging you to stay in His hand even when your own heart is failing you.

I’m wrestling a bit with the idea of the "advocate" making things easier. Does He make them easier, or does He just give you the strength to stand through them? The song says He makes the hard things simple, or "rahisisha," which might be a bit of a stretch if we’re talking about the actual, raw pain, but I suppose the perspective shifts when you aren't carrying the weight alone. It reminds me of the promise that nothing can separate us from His love, and that feels like the real anchor here. Still, I find myself questioning if I actually believe it's enough to just "lean on Jesus" when I'm at the end of my rope, or if I’m still secretly hoping for a different kind of relief.

Loading...
In Queue
View Lyrics