Nimfahamu Yesu - Nataka nimjue Yesu zaidi

Nataka nimjue Yesu
Na nizidi kumfahamu
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili

Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili

Nataka nimwone Yesu
Na nizidi kusikia
Anenapo kitabuni
Kujidhihirisha kwangu

Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili

Nataka nimfahamu
Na nizidi kupambanua
Mapenzi yake nione
Yale yanayo pendeza

Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili

Nataka nikae nawe
Kwa mazungumzo zaidi
Nizidi kuwaonesha
Wengine wokovu wake

Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili


Share:

Write a review of Nimfahamu Yesu - Nataka Nimjue Yesu Zaidi :

0 Comments/Reviews


Alice Kamande

@alice-kamande

Bio

View all songs, albums & biography of Alice Kamande

View Profile

Bible Verses for Nimfahamu Yesu - Nataka nimjue Yesu zaidi

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

Mp3 Songs & Download from iTunes

  • listen on Itunes Music