Mnyunyizi Wangu

Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame
Huwachi ninyauke, Oh nakupenda
Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame
Huwachi ninyauke, Oh nakupenda

Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda
Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda

Kama mti kando ya mto, Hivyo ndivyo ilivyo
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda
Kama mti kando ya mto, Hivyo ndivyo ilivyo
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda

Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda
Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda

Kiarie: "Nakupenda Jehovah wewe ni mnyunyizi wangu
Unaninyunyizia maji wakati wa ukame, huachi ninyauke.
Unaninawirisha Jehovah, Jina lako nalitukuza nakupenda
kwa roho yangu yote. Nitakutumikia maishani mwangu Jehovah
Nakuimbia wimbo mpya, sina mwingine..."

Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda
Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda
Share:
0 Comments

Comments / Song Reviews

Share your understanding & meaning of this song


Sarah Kiarie

@sarah-kiarie

Bio

Profile bio not available. Go to Artists Page to add bio & Links

Bible Verses for Mnyunyizi Wangu

Jeremiah 17 : 8

Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa hari ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda.

Mark 12 : 30

nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote.

Sifa Lyrics

Social Links