Sifa Lyrics

Uliniumba Nikuabudu by Angela Chibalonza cover art

Angela Chibalonza - Uliniumba Nikuabudu Lyrics

Artist:
Angela Chibalonza
Album:
Best of Chibalonza
Official Release:
30 Apr 2013

Lyrics

Uliniumba nikuabudu
Uliniumba nikuabudu
kw ajili yako mimi naishi
(hoo)Uliniumba nikuabudu
pasipo wewe singekuwepo
hoo uliniumba nikuabudu
mimmi ni kazi ya mikono yako baba
hoo uliniumba nikuabudu


Baba ninaona nikuabudu, maana matendo yako ni mengi sana
Ishara zako baba ni nyingi mno, maana wewe ndiye mungu wangu
muumba niseme matendo yako,ndiye mungu wa miungu
alleluya baba,wewe kimbilio letu na ngome yetu


Hakuna aliye kama wewee
Uliniumba nikuabudu
Uliniumba nikuabudu


Kw ajili yako mimi naimba
(hoo)Uliniumba nikuabudu
maneno ya kusema yananikosa
maana matendo yako ni ya ajabu 
maana ishara zako ni nyingi mno


kwa macho nimeona makuu yako
masikio nimesikia matendo yako
ndio maana nimetambua niliumbwa nikuabudu
mungu wa milele,alleluya


Uliniumba nikuabudu
Uliniumba nikuabudu
kw ajili yako mimi naishi
(hoo)Uliniumba nikuabudu
umenipa sauti nikuimbie
Uliniumba nikuabudu
hata watu wote wanajua
Uliniumba nikuabudu


Ninasema uliniumba
Uliniumba nikuabudu
wewe ni nuru ya maisha yangu baba
Uliniumba nikuabudu
wewe ni mwamba wa imani yako
hoo uliniumba nikuabudu
uliniumba nikuabudu......


Video